Binadam hakuridhika akadai kuongezewa,
Punda alipokumbuka mateso ya kubeba mizigo mizito na kichapo ikambidi agomee na akakubali miaka10 tu na iliyosalia 20 akapewa binadam,
Mbwa nae kakomaa kupigwa baridi na kubweka nk miaka yote hiyo noma nae kakubali 10 tu,ishirini iliyosalia akagaiwa binadam.
Shughuli kwa binadam mwenye 70; 30 ya kwake,20 ya punda then 20 ya mbwa.30 ni ya kujipanga na kutunisha misuli,20 inayofuatia ya kubeba mizigo mizito hata kupigika sn wkt mwingine,na finally unakuwa mbwa wa kubweka,kupigwa baridi etc.Je,wewe unajiandaaje?
Kama unaifaidi ya kwako ya punda unajiandaa kuikabilije.Unayekabili ya punda ya mbwa utaikabilije?Wanaomalizia ya mbwa hongereni lkn je,mbinguni mnaenda au mnaishia msoto usio na manufaa?
Kinachofurahisha wale wacha Mingu na wenye maadili mema wanaipiga yote tena kwa furaha kisha wanakula na pensheni miaka kibao,na bado mbingu za kwao.

No comments:
Post a Comment