Tuesday, April 3, 2012

HALI TETE UBUNGO

Kuna tetesi za hapa na pale kuwa hali haikuwa shwari katika maeneo ya ubungo.Kulikuwa na vurugu nyingi huku watu wengine wakichoma matairi barabarani,ikiwa ni katika harakati ambazo naweza kusema ni za kuonyesha kuchukizwa au kutotendewa haki.Haya yametokea baada ya bomoa bomoa ya vibanda vyao vya biashara jambo ambalo,hawakufurahishwa nalo..

No comments:

Post a Comment

Ads 468x60px

Featured Posts