Friday, January 27, 2012

HIVI NDIVYO SINGIDA ILIVYOKUWA.


Hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika barabara nyingi za mkoa wa Singida.Nashukuru wizara husika pamoja na uongozi wake kwa kazi kubwa waliyoifanya.Hivi sasa karibia asilimia themanini ya barabara zetu hapa Singida mjini ni za kiwango cha lami.Pia kwa wale wanaosafiri kupitia/kuunganishwa na Singida,sasa barabara zote ni za lami hakuna vumbi tena isipokuwa kwa wale wanaotokea Arusha,kuna km chache za vumbi katika eneo la Manyara na si Singida.

No comments:

Post a Comment

Ads 468x60px

Featured Posts