Tuesday, February 28, 2012

"HERI KUTHAMINI MBUZI KULIKO........"HII NI SAWA?

Kuna usemi mmoja usemao heri kuthamini mbuzi kuliko binadamu;Pamoja na kwamba usemi huu si mzuri hasa kiimani lakini kwa mtindo huu, anaoonyesha kijana huyu tuseme ndiyo utekelezaji wakee au hali duni ya maisha tu?
by L.Mdelela

No comments:

Post a Comment

Ads 468x60px

Featured Posts