Music technician Bonny kushoto wakibadilishana machache na Jacob Wambura Aliyekuwa akitoka Arusha kuelekea Shinyanga kwaajili ya kazi moja ya kuwasha moto kwa semina kubwa za uinjilisti.
Hili ndilo gari lililokuwa likibeba vyombo mbalimbali vya muziki toka Arusha likielekea shinyanga kwaajili ya huduma hiyo.
No comments:
Post a Comment