kUNA UHUSIANO GANI KATI YA TWIGA NA WATANZANIA?
Wataalam wanaoanisha mnyama atumikaye kama alama ya taifa na tabia ya wananchi wa taifa hilo.Kwa mfano wakenya ni Simba,na kweli hata tabia zao ni za ukali.Uganda inawakilishwa na ndege mmoja mwenye maringo sana na kweli waganda wana maringo na madaha kama ndege huyo.Watanzania tunawakilishwa na twiga,na kweli watanzania wengi wanafanana naye;Tunaona mbali lakini hatua zetu ni ndogo ndogo sana.ni lazima tuamke,tufungue macho,tusikubali mpaka tuhakikishe tunabadilika.
No comments:
Post a Comment