Saturday, February 18, 2012

Mchungaji swila awasha moto Singida.


Kushoto ni Mchungaji A.Mwakitalima wa TAG-Jersalem Spiritual Centre Singida mjini akimpa mkono wa pongezi mchungaji swila wakati wa kuhitimisha Semina yake ya siku nane;Aliyokuwa akifundisha somo liitwalo upendo wa Mungu.

No comments:

Post a Comment

Ads 468x60px

Featured Posts