Tuesday, February 7, 2012

SINGIDA SASA INAVUTIA.

Hili ni eneo la Singida vijijini Ukiwa unatoka Manyoni kuelekea Singida mjini.
Ndani ya Singida Mwanza road ukiwa unaelekea Mwanza.Hili ni eneo maarufu sana kwani mabasi mengi yanayopitia Singida husimama eneo hili kwa ajili huduma za chakula.

Wauuuuu!!!!!Hii ndiyo Singida bwana.


Photos by G.Samm

No comments:

Post a Comment

Ads 468x60px

Featured Posts