Utafiti wa hivi karibuni umebainisha
kuwa Papa Francis, Billy Graham, Oprah Winfrey, and Queen Elizabeth II ni
miongoni mwa watu maarufu wanaokubalika zaidi duniani.
Katika orodha hiyo
iliyoandaliwa katika chapisho la YouGov’s la May 10,2016, wengine waliotajwa ni
pamoja na Barack Obama, Xi Jinping, Jackie Chan, and Stephen Hawking followed
closely after Bill Gates for men, while Queen Elizabeth II, Hillary Clinton,
and Michelle Obama followed Jolie
No comments:
Post a Comment