Monday, January 21, 2013

AJALI YAJERUHI WATATU NA KUSABABISHA UHARIBIFU MKUBWA UBUNGO TERMINAL

Ajali hiyo ilitokea leo asubuhi katika eneo la kuegeshea magari,ambapo ukuta mkubwa wa jengo lililo ndani ya kituo hicho cha mabasi yaendayo mikoani,ulianguka.Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo,watu watatu walijeruhiwa na magari ishirini na tatu yaliharibiwa vibaya.
Hii ni sehemu ya ukuta huo ukiwa umeharibu vibaya magari kama yanavyoonekana.
Hawa ni watu waliokuwa wakishuhudia uharibifu mkubwa uliojitokeza. Photo by Global publishers.

No comments:

Post a Comment

Ads 468x60px

Featured Posts