Tuesday, January 21, 2014
JERUSALEM SPIRITUAL CENTER,MAMA WA MAKANISA MENGI YA TAG.
Kanisa hili linaloongozwa na Mchungaji A.Mwakitalima na lenye umri wa zaidi ya miaka 40,limekuwa na historia ya kipekee hapa nchini hasa kwa kuwaandaa wachungaji wengi ambao wamekua wakianzisha makanisa kwa kasi kubwa maeneo mbalimbali.Karibia kila mwaka kanisa hili linakuwa na wanafunzi katika vyuo vya bibilia na hata sasa kuna wachungaji wawili wanaoendelea na masomo,na mmoja aliyehitimu hivi karibuni.Ama kweli kanisa hili ni mfano bora na wa kuigwa katika kuhakikisha kwamba,maeneo yote yanafikiwa na neno la kristo,pamoja na malezi rasmi ya kiroho.Sifa zote kwa Yesu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment