Monday, October 15, 2012

AJALI MBAYA MAENEO YA MSASANI DAR ES SALAAM





ajali mbaya imetokea leo asubuhi maeneo ya msasani kwa warioba gari ya jeshi imegongana uso kwa uso na daladala magari yote yameharibika vibaya na madereva wameumia sana na pengine mmoja wao amefariki dunia niajali yakusikitisha

No comments:

Post a Comment

Ads 468x60px

Featured Posts