Thursday, July 7, 2011

KATIBA MPYA INAHITAJI UMAKINI WETU KULIKO TUNAVYOFIRI

Kati ya mambo ya msingi na muhimu sana katika maisha ya kila mtanzania ni katiba mpya.Nasema hivyo kwa sababu katiba ndiyo inayotuonyesha mipaka na kulinda haki zetu sote.Pia mfumo wa maisha ya watanzania kwa sehemu kubwa unalindwa na katiba.Kuna baadhi ya vifungu mbalimbali ambavyo kiukweli vinathibitisha kwamba kuna umuhimu wa katiba mpya.faida za kuwa na katiba nzuri na ya kisasa ni pamoja na

  • Kuwawezesha raiya/wananchi kuisimamia serikali na viongozi wao ipasavyo.
  • Kuboresha uwajibikaji wa wananchi serikalini na katika sekta binafsi
  • Kumsaidia kila mtanzania kuujua wajibu wake katika jamii.

No comments:

Post a Comment

Ads 468x60px

Featured Posts